TCRA SACCOS inatoa huduma nyingi za biashara, uchumi,
mauzo ya rejareja na jumla, na mengine mengi
NENO KUTOKA KWA MWENYEKITI
Tunafurahi kwa kuwa umetembelea tovuti yetu. Pitia kurasa zetu ujue zaidi kuhusu mchango wa TCRA SACCOS kwa jamii, na huduma tunazotoa. Ukiwa na swali lolote, wasiliana nasi kwa simu, barua pepe, au mitandao ya jamii. KARIBU.
MAENDELEO YA TCRA SACCOS
Kipindi kati ya Desemba 2020 na Julai 2021 kimeshuhudia kukua kwa akiba kwa asilimia 4.2, kuongezeka kwa mikopo kwa asilimia 27.2, kushuka kwa amana kwa asilimia 22.1 na hisa kwa asilimia 17.4.
Akiba iliongezeka kutoka shilingi bilioni 2.63 hadi 2.74 na mikopo kutoka shilingi bilioni 3.01 hadi 3.84. Amana zilishuka kutoka shilingi milioni 90.27 hadi 70.30 na hisa kutoka shilingi bilioni 1.43 hadi bilioni 1.18 katika kipindi hicho.
MIRADI

Manufaa ya Kujiunga na SACCOS
SACCOs ni tofauti na vyombo vingine vya akiba ya fedha kwa sababu kadhaa. Wanachama wa SACCOs wanaweza kuhifadhi pesa, kununua ...
Soma Zaidi
Soma Zaidi

Kilimo
Wanachama wanaweza kuwekeza kwenye miradi ya uzalishaji mimea, au ufugaji wa wanyama ...
Soma Zaidi
Soma Zaidi

Boda boda
Biashara ya boda boda ni chanzo kizuri cha kipato cha uhakika kulingana na uhitaji wa mwananchi wa kawaida. Uwekezaji katika ...
Soma Zaidi
Soma Zaidi

Mifuko ya Hifadhi
Uwekezaji kwenye mifuko ya jamii kama UTT AMIS ni njia nzuri ya kuwekeza fedha kwa kipindi kirefu. Kadri muda unavyoendelea, ...
Soma Zaidi
Soma Zaidi