
Kutangaza biashara au miradi imekua rahisi sana kwa kutumia mitandao ya jamii. Kila mtumiaji mwenye simu janja ana uwezo wa kujiunga na kusoma maudhui yaliyomo. Hi nakala inaelezea manufaa ya kurusha matangazo kwenye mitandao ya Facebook na Instagram.