Kutangaza biashara au miradi imekua rahisi sana kwa kutumia mitandao ya jamii. Kila mtumiaji mwenye simu janja ana uwezo wa kujiunga na kusoma maudhui yaliyomo. Hi nakala inaelezea manufaa ya… Biashara ndogo zinaweza kutumia fursa ya huduma za mtandaoni kufikia wateja wengi zaidi. Kuna njia kuu tatu za biashara kuweza kuwafikia wateja wake mtandaoni. Tovuti Tovuti inasaidia biashara kutambulika duniani… Tutakuwa tunawaletea vidokezo muhimu kuhusu masuala ambayo mtu anatakiwa kuyazingatia anapotaka kuanza shughuli za kumuingizia kipato, kwa njia ya kutoa huduma au kuuza bidhaa. Pamoja na kusajili shughuli ya binafsi… SACCOs ni tofauti na vyombo vingine vya akiba ya fedha kwa sababu kadhaa. Wanachama wa SACCOs wanaweza kuhifadhi pesa, kununua hisa, na kuchukua mikopo kwa riba nafuu. SACCOs hua na… BAJETI YA 2021/2022 NA WAJASIRIAMALI Bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2021/22 imepokelewa na mapendekezo mengi ya mabadiliko ambayo yanawahusu wafanyabiashara wadogo kama wanachama wa TCRA SACCOS. Baada ya kuipitia… Rais John Pombe Joseph Magufuli, ambaye alifariki dunia tarehe 17 Machi 2021 alinzisha mipango ya kuinua na kuendeleza shughuli za ushirikika kwenye ngazi zote na kukuza ujasirimali. Hotuba yake wakati…Kurusha Matangazo Mtandaoni – I
Kuuza Bidhaa Mtandaoni
Usajili wa majina ya shughuli za umiliki wa kipekee na maombi ya leseni za biashara
Manufaa ya Kujiunga na SACCOS
VIDOKEZO VYA BAJETI YA TAIFA YA MWAKA 2021/2022 KWA WAJASIRIAMALI
Magufuli Alivyohamasisha Ujasiriamali