Kuanza biashara ya utengenezaji wa viatu vya ngozi nchini kunatoa fursa ya kipekee ya kuvutia soko la ndani na la kimataifa, kwa kutumia urithi wa kitamaduni wa nchi na sekta… Ukulima wa parachichi nchini Tanzania ni fursa yenye faida kubwa kwa wajasiriamali kutokana na mahitaji makubwa ya parachichi katika soko la kimataifa. Tanzania inafahamika kua muuzaji wa tatu Afrika nyuma… Ukuaji wa Biashara na TCRA SACCOS Kujiunga na TCRA SACCOS ni njia bora ya kuharakisha ukuaji wa biashara yako. Hapa tunachunguza jinsi uanachama wa TCRA SACCOS unavyoweza kuboresha uwezo wa… Kilimo katika mjini kinazidi kuwa jambo maarufu kwa wale wanaotafuta kupata pesa za ziada huku pia wakichangia kwa jamii inayowazunguka. Hii inaweza kufanywa kwa njia mbalimbali, ikiwemo kupitia bustani za… Mambo ya kuzingatia unapotaka kuaandaa andiko la mradi (project proposal) au mpango wa biashara (business plan). Utangulizi: Staili ya uandishi Katika kuendesha shughuli zetu za ujasiriamali, kuna wakati tutahitaji kupanua…Kuanza Biashara ya Utengenezaji wa Viatu vya Ngozi
Ukulima na Mnyororo wa Thamani ya Parachichi
Kujiunga na TCRA SACCOS na Ukuaji wa Biashara Yako
Kilimo cha Mjini
Maandalizi ya Andiko la Mradi na Mpango wa Biashara – I