Mifuko ya Hifadhi

Uwekezaji kwenye mifuko ya jamii kama UTT AMIS ni njia nzuri ya kuwekeza fedha kwa kipindi kirefu. Kadri muda unavyoendelea, mwekezaji anaendelea kupata riba kulingana na kiasi alichowekeza.

Boda boda

Biashara ya boda boda ni chanzo kizuri cha kipato cha uhakika kulingana na uhitaji wa mwananchi wa kawaida. Uwekezaji katika hii sekta inaweza kupatia mwanachama kipato kinachoweza kusaidia miradi mingine.