joel-chacha-tanzia

Mhandisi Mkuu Mwandamizi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Joel Chacha amefariki dunia tarehe 26 Desemba 2021 akiwa kwenye mazoezi ya viungo nyumbani kwake Dar es Salaam na kuzikwa Tarime, mkoani Mara tarehe 30 Desemba.
“TCRA tumempoteza mmoja wa wataalamu wetu mahiri na aliyebobea katika tasnia ya uhandisi wa mawasiliano”, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dr. Jabiri Kuwe Bakari alisema katika rambirambi zake.Kazi ya mwisho aliyoisimia kwa karibu na kwa umakini mkubwa ni maandalizi ya rasimu ya kanuni ndogo za utoaji wa huduma za utangazaji kwa njia ya waya, akiwa mwenyekiti wa kikosi kazi kilichoundwa kwa kazi hiyo.

CategoryMatukio
  1. June 8, 2022

    Keep up the excellent piece of work, I read few blog posts on this web site and I think that your web blog is real interesting and has lots of good information.

Write a comment:

*

Your email address will not be published.