Wanachama wanaweza kuwekeza kwenye miradi ya uzalishaji mimea, au ufugaji wa wanyama.

Biashara ya boda boda ni chanzo kizuri cha kipato cha uhakika kulingana na uhitaji wa mwananchi wa kawaida. Uwekezaji katika hii sekta inaweza kupatia mwanachama kipato kinachoweza kusaidia miradi mingine.

Uwekezaji kwenye mifuko ya jamii kama UTT AMIS ni njia nzuri ya kuwekeza fedha kwa kipindi kirefu. Kadri muda unavyoendelea, mwekezaji anaendelea kupata riba kulingana na kiasi alichowekeza.

(Kwa mujibu wa kifungu cha 9 cha jedwali la sheria ya vyama vya ushirika No. 6 ya mwaka 2013)