Kuanza biashara ya utengenezaji wa viatu vya ngozi nchini kunatoa fursa ya kipekee ya kuvutia soko la ndani na la kimataifa, kwa kutumia urithi wa kitamaduni wa nchi na sekta ya utalii inayokua. Mwongozo huu wa kina unajumuisha vipengele vikuu vya kuanzisha na kusimamia biashara ya utengenezaji wa viatu vya ngozi, ikiwemo utafiti wa soko,…

Ukulima wa parachichi nchini Tanzania ni fursa yenye faida kubwa kwa wajasiriamali kutokana na mahitaji makubwa ya parachichi katika soko la kimataifa. Tanzania inafahamika kua muuzaji wa tatu Afrika nyuma ya Kenya na Afrika Kusini, tukizalisha tani 7,000 za parachichi kwa mwaka (TIC, 2019). Makala hii inatoa muhtasari wa kina wa mnyororo wa thamani wa…

Ukuaji wa Biashara na TCRA SACCOS Kujiunga na TCRA SACCOS ni njia bora ya kuharakisha ukuaji wa biashara yako. Hapa tunachunguza jinsi uanachama wa TCRA SACCOS unavyoweza kuboresha uwezo wa biashara yako. Fursa ya Mikopo yenye Riba Ndogo TCRA SACCOS hutoa mikopo kwa wanachama wake kwa riba ndogo, ambayo ni nafuu kuliko benki za kawaida….

Kilimo katika mjini kinazidi kuwa jambo maarufu kwa wale wanaotafuta kupata pesa za ziada huku pia wakichangia kwa jamii inayowazunguka. Hii inaweza kufanywa kwa njia mbalimbali, ikiwemo kupitia bustani za jamii (community gardens), bustani za paa (rooftop gardens), na hata katika viwanja vidogo vya majumbani. Mojawapo ya faida kuu za kilimo katika miji ni fursa…

Karibu tena kwenye muendelezo wa kidokezo cha kutufundisha jinsi ya kuandaa andiko la mradi (project proposal) na mpango wa biashara (business plan). Tunaendelea na vipengele vya kuzingatia kwenye maandalizi ya andiko la mradi (project proposal) na mpango wa biashara (business plan). Tathmini ya kimazingira Kama tulivyoeleza awali, mazingira ya kiuchumi, kisiasa na kijamii ndani ya…

Mambo ya kuzingatia unapotaka kuaandaa andiko la mradi (project proposal) au mpango wa biashara (business plan). Utangulizi: Staili ya uandishi Katika kuendesha shughuli zetu za ujasiriamali, kuna wakati tutahitaji kupanua shughuli zetu na hivyo kuhitajika kuomba mkopo au kuingia ubia wa kibiashara na mhusika mwingine. Kwa vyovyote vile, utahitajika kuwasilisha taswira ya shughuli unayoifanya ili…

Wanachama wanaweza kuwekeza kwenye miradi ya uzalishaji mimea, au ufugaji wa wanyama.

Biashara ya boda boda ni chanzo kizuri cha kipato cha uhakika kulingana na uhitaji wa mwananchi wa kawaida. Uwekezaji katika hii sekta inaweza kupatia mwanachama kipato kinachoweza kusaidia miradi mingine.

Uwekezaji kwenye mifuko ya jamii kama UTT AMIS ni njia nzuri ya kuwekeza fedha kwa kipindi kirefu. Kadri muda unavyoendelea, mwekezaji anaendelea kupata riba kulingana na kiasi alichowekeza.