Mambo ya kuzingatia unapotaka kuaandaa andiko la mradi (project proposal) au mpango wa biashara (business plan). Utangulizi: Staili ya uandishi Katika kuendesha shughuli zetu za ujasiriamali, kuna wakati tutahitaji kupanua shughuli zetu na hivyo kuhitajika kuomba mkopo au kuingia ubia wa kibiashara na mhusika mwingine. Kwa vyovyote vile, utahitajika kuwasilisha taswira ya shughuli unayoifanya ili…

Kutangaza biashara au miradi imekua rahisi sana kwa kutumia mitandao ya jamii. Kila mtumiaji mwenye simu janja ana uwezo wa kujiunga na kusoma maudhui yaliyomo. Hi nakala inaelezea manufaa ya kurusha matangazo kwenye mitandao ya Facebook na Instagram.

Biashara ndogo zinaweza kutumia fursa ya huduma za mtandaoni kufikia wateja wengi zaidi. Kuna njia kuu tatu za biashara kuweza kuwafikia wateja wake mtandaoni. Tovuti Tovuti inasaidia biashara kutambulika duniani kote, kwani kila mtu mwenye uwezo wa kutumia simu au komputa ataweza kufikia buashara yako bila kufunga safari. Badala ya kupanda gari ya kkoo, mteja…

Tutakuwa tunawaletea vidokezo muhimu kuhusu masuala ambayo mtu anatakiwa kuyazingatia anapotaka kuanza shughuli za kumuingizia kipato, kwa njia ya kutoa huduma au kuuza bidhaa. Pamoja na kusajili shughuli ya binafsi inayokuingizia kipato kama kampuni yenye dhima ya kikomo (limited liability company), unaweza pia kuisajili kama shughuli yenye umilki wa ubia (partnership) au umiliki wa pekee…

SACCOs ni tofauti na vyombo vingine vya akiba ya fedha kwa sababu kadhaa. Wanachama wa SACCOs wanaweza kuhifadhi pesa, kununua hisa, na kuchukua mikopo kwa riba nafuu. SACCOs hua na miongozo na kanuni za kawaida na za kipekee kulingana na malengo au makubaliano ya wanachama. Mazoea ya Kuhifadhi Pesa Mara kwa mara, watu huwaza kwamba…

BAJETI YA 2021/2022 NA WAJASIRIAMALI Bajeti kuu ya mwaka wa fedha 2021/22 imepokelewa na mapendekezo mengi ya mabadiliko ambayo yanawahusu wafanyabiashara wadogo kama wanachama wa TCRA SACCOS. Baada ya kuipitia hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dr. Mwigulu Lameck Nchemba, tumeandaa muhtasari maeneo makuu ya kuzingatia wakati huu wa bunge la bajeti. MABADILIKO…

Rais John Pombe Joseph Magufuli, ambaye alifariki dunia tarehe 17 Machi 2021 alinzisha mipango ya kuinua na kuendeleza shughuli za ushirikika kwenye ngazi zote na kukuza ujasirimali. Hotuba yake wakati wa kuzindua Bunge la 12 tarehe 13 Novemba 2020 na Ilani ya Uchaguzi ya CCM vimeainisha mipango ya kupanua huduma za kifedha na upatikanaji wa…

Mradi Katika shughuli za kuingiza kipato, Mradi ni shughuli yoyote ile ambayo inabuniwa, kupangwa na kutekelezwa kwa madhumuni ya kupata faida. Ingawaje kimsingi mradi unakuwa na wakati maalumu wa kuanza na kumalizika, kwenye shughuli za biashara mradi unaweza kuendelea kwa kipindi kirefu. Mara nyingi tunapoanzisha shughuli za kutuingizia kipato, tunakutana na istilahi (terms) nyingi ambazo…