Karibu tena kwenye muendelezo wa kidokezo cha kutufundisha jinsi ya kuandaa andiko la mradi (project proposal) na mpango wa biashara (business plan). Tunaendelea na vipengele vya kuzingatia kwenye maandalizi ya… Uwekezaji kwenye mifuko ya jamii kama UTT AMIS ni njia nzuri ya kuwekeza fedha kwa kipindi kirefu. Kadri muda unavyoendelea, mwekezaji anaendelea kupata riba kulingana na kiasi alichowekeza. Biashara ya boda boda ni chanzo kizuri cha kipato cha uhakika kulingana na uhitaji wa mwananchi wa kawaida. Uwekezaji katika hii sekta inaweza kupatia mwanachama kipato kinachoweza kusaidia miradi mingine. Wanachama wanaweza kuwekeza kwenye miradi ya uzalishaji mimea, au ufugaji wa wanyama.Maandalizi ya Andiko la Mradi na Mpango wa Biashara – II
Mifuko ya Hifadhi
Boda boda
Kilimo