Mambo ya kuzingatia unapotaka kuaandaa andiko la mradi (project proposal) au mpango wa biashara (business plan). Utangulizi: Staili ya uandishi Katika kuendesha shughuli zetu za ujasiriamali, kuna wakati tutahitaji kupanua… SACCOs ni tofauti na vyombo vingine vya akiba ya fedha kwa sababu kadhaa. Wanachama wa SACCOs wanaweza kuhifadhi pesa, kununua hisa, na kuchukua mikopo kwa riba nafuu. SACCOs hua na… Uwekezaji kwenye mifuko ya jamii kama UTT AMIS ni njia nzuri ya kuwekeza fedha kwa kipindi kirefu. Kadri muda unavyoendelea, mwekezaji anaendelea kupata riba kulingana na kiasi alichowekeza. Biashara ya boda boda ni chanzo kizuri cha kipato cha uhakika kulingana na uhitaji wa mwananchi wa kawaida. Uwekezaji katika hii sekta inaweza kupatia mwanachama kipato kinachoweza kusaidia miradi mingine. Wanachama wanaweza kuwekeza kwenye miradi ya uzalishaji mimea, au ufugaji wa wanyama.Maandalizi ya Andiko la Mradi na Mpango wa Biashara – I
Manufaa ya Kujiunga na SACCOS
Mifuko ya Hifadhi
Boda boda
Kilimo